ESMA'S BEAUTY SHOP IS BACK NA SASA TUNA SHUGULIKA NA KUUZA VITU VIZURI NA ORIGINAL
KWA AJILI YA NGOZI YAKO NA NYWELE ZAKO.
JIPATIE OJOJOO ORIGINAL KABISA KUTOKA UK #OJOJOO
NDIO HABARI YA MJINI FEEDBACK ZINAONYESHA ALIYEKATIKA NYWELE SASA HIVI
ZIMEJAA, MWENYE MBA ZIMEISHA.....WEWE UNANGOJA NINI KUJINAFASI NA
OJOJOO??👌👌👌 ▶️Mafuta elfu 60,000
▶️Serum elfu 30,000
▶️Shampoo elfu 40,000
▶️Conditioner elfu 40,000
#OJOJOO mafuta na serum ya kukuza na kujaza nywele kwa haraka sana
🔹Yanafaa nywele zenye dawa na zisizo na dawa. 🔹Yanafaa kwa wanaume, wanawake na watoto. 🔹Kiboko ya mba na tatizo lolote lile la ngozi. 🔹Yanajaza sana nywele na kwa uharaka zaidi 🔹Nywele zinakuwa nzito na laini 🔹Nzuri sana kwa watoto maana hulainisha nywele na kuzipa urahisi wa kuchana. 🔹 Husaidia kurudisha nywele zinazotoka kisogoni. ▶️Shampoo husafisha nywele na kuondoa mba
▶️Conditoner husaidia kulainisha nywele na kuzirudisha katika hali yake
ya kawaida baada ya kuosha na kuzikausha. ▶️#OJOJOOSERUM inasaida zile
problem areas kichwani. Mfano kwa wale mnaopenda sana kusuka rasta
unakuta nywele huku mbele zinakuwa weak au zinakatika sana hii #OjojooSerum husaidia kurudisha nywele zako na kuziimarisha pale zinapo anza kukua.
🔹Pia husaidia sana mataizo sugu kama vile mba, mapunye na issue zingine huko kichwani. 🔹Hii
serum unaweza changanya kwenye mafuta yako ya #Ojojoo na kuacha
nyingine ambayo unakuwa unatumia mara kwa mara kwenye zile problem
areas.
Mafuta ya #OJOJOO, SERUM, SHAMPOO NA CONDITONER ORIGINAL VINAPATIKANA Esma Beauty Shop tucheki Whatsapp au tupigie ☎📞📱📲 Bio ni▶️ Kwa wale wa Dar tunafanya delivery popote pale ulipo kwa bei nzuri.
▶️ Mkoani pia tunatuma mizigo kwa gharama nafuu. ▶️ KUTOKANA NA HALI YA
JOTO MAFUTA YANAWEZA KUYEYUKA LAKINI SIYO KWAMBA HAYAFANYI KAZI ENDELEA
KUYATUMIA UTAONA TU MATOKEO MAZURI. NAOMBA UJITAHIDI UYAWEKE MAFUTA
YAKO SEHEMU YENYE UBARIDI.
#nofakezone🚫✌🏽️✌🏽✌🏽
#ojojooserum #ojojoo #OjojooAfrica #OjojooHairFood #OjojooTanzania #ojojooconditioner #OjojooCentralAfrica #EsmaBeautyShop #Surestcitygroup #Surestcitydealz